Kidokeza cha kurusha ndege nyuki

The Humanitarian OpenStreetMap team ina muongozo juu ya kurusha UAV kwa ramani:

Muongozo umekusudiwa kwa drone project za visiwa, lakini ina matumizi kwa ujumla ya watengeza ramani kwa drone.

Angalia pia DroneDeploy's muongozo juu ya Kutengeza ramani yenye mafanikio, ambayo inaelezea mambo muhimu juu ya kuandaa mission.

Finally, lens distortion is a challenge in projects requiring accurate 3D data. See our section in these docs on Camera Calibration.

Learn to edit and help improve this page!