Jinsi ya kushiriki

OpenDroneMap inategemea na ushiriki wa kijamii. unaweza kushiriki kwa njia nyingi, hata ukiwa sio programa.

Jukwaa la kijamii

Ikiwa unataka kushiriki, katika matatizo yalioshinda, au yanayotaka kutatuliwa, jukwaa ni sehemu nzuri ya kuanzia. Unaweza kupata maswali yaliojibiwa au unaweza kupata njia zitakazokusaidia au rasilimali. Pia unaweza kushiriki data zako za wazi kwa wengine kutumia. Ni sehemu nzuri kabla kutuma makosa au kutumia pamoja na wasanifu kuandika vitu vipya.

Kuwasilisha Bugs

Bugs imefuatwa kama suala la Github. Tafadhali tengeneza kitu ndani sehemu ya kuhifadhi na lebo pamoja na makosa.

Elezea tatizo na uambatanishe maelezo ya ziada kuwasaidia wanaotengeneza kugundua tatizo:

  • Tumia njia fupi na madainayojieleza kwa kitu kuonesha tatizo.

  • Elezea hatua sahihi ambayo inazalisha tatizo kwa undani wote iwezekanavyo. Mfano, anza kwa kuelezea vipi unawasha ODM (Docker, Vagrant, etc), mfano: ni camand gani unatumia ndani ya taminali. Wakati unasikiliza hatua, usiseme tu umefanya, lakini elezea ni vipi umefanya.

  • Andaa mfano maalum kuonesha njia. Ikiwemo kiunganishi kwenye mafaili au GitHub project, au sehemu copy/pasteable, ambayo umeitumia katika mifano yote. Ikiwa umetoa dondoo kwenye hili, tumia Markdown code blocks.

  • Elezea tabia uligundua baada ya hatua zifuatazo na onyesha kitu husika ni tatizo kwa tabia hio.

  • Elezea ni tabia ipi unategemea kuiona kutokea na kwa nini.

  • Ikiwemo screenshots na animated GIF ambayo inakuonesha hatua za maelezo yafuatayo na maelezo sahihi ya matatizo. Unaweza kutumia Kifaa hichi cha kurekodi GIFs kwa macOS na Windows, na kifaa hiki au hiki hapa katika Linux.

  • Ikiwa tatizo linaendana na utendaji kazi, tafadhali tuma mashine yako maalum (host na guest mashine).

  • Ikiwa tatizo halijaoneshwa kwa kitendo maalum, eleze nini ulifanya kabla tatizo halijatoke na sambaza maelezo kutumia maelekezo yafuatayo.

Ikiwemo undani juu ya usanidi na mazingira:

  • Ni toleo gani la ODM unayotumia? Imetolewa sahihi? ni clone kuu?

  • Ni jina gani na toleo gani la OS unayotumia?

  • Unatumia ODM katika virtual mashine au Docker? Ikiwa ni hivyo, ni VM software gani unayotumia na opereting system gani na tolea unalotumia kwa host na guest?

Kigezo kwa kuwasilisha maelezo ya bug

[Short description of problem here]

**Reproduction Steps:**

1. [First Step]
2. [Second Step]
3. [Other Steps...]

**Expected behavior:**

[Describe expected behavior here]

**Observed behavior:**

[Describe observed behavior here]

**Screenshots and GIFs**

![Screenshots and GIFs which follow reproduction steps to demonstrate the problem](url)

**ODM version:** [Enter ODM version here]
**OS and version:** [Enter OS name and version here]

**Additional information:**

* Problem started happening recently, didn't happen in an older version of ODM: [Yes/No]
* Problem can be reliably reproduced, doesn't happen randomly: [Yes/No]
* Problem happens with all datasets and projects, not only some datasets or projects: [Yes/No]

Tatua maombi

  • Ikiwemo screenshots na animated GIFs katika kutatua maombi yako vyovyote iwezekanavyo.

  • Fuata maelekezo PEP8 Python Style.

  • Malizia file kwa mstari mpya.

  • Epuka platform-dependent code:
    • Tumia require('fs-plus').getHomeDirectory() kurudi anuani ya nyumbani.

    • Tumia path.join() kwa kuunganisha majina.

    • Tumia os.tmpdir() kuliko /tmp ukihitaji kumbukumbu ya anuani ya muda mfupi.

  • Tumia return tupu wakati return ya urahisi mwisho wa kazi.
    • Sio return null, return undefined, null, au undefined

Learn to edit and help improve this page!